Sauti Ya Cabo Delgado 16.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 16.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Bidhaa za wananchi kuporwa katika wilaya za migogiro.
🔸Wataalamu wa ugani wanalalamika na njia za kutosha kwa msimu wa sasa wa kilimo.
🔸Uhalifu watia wasiwasi mji wa Pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +2588432885766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.