Sauti Ya Cabo Delgado 17.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 17,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Baraza la maskofu ya msumbiji inataka ujenzi wa haraka wa jimbo la Cabo Delgado.
🔸Vykosi vya ulinzi vimewaua magaidi 25 huko Cabo Delgado.
🔸Wakimbizi walioko corane wanalalamikia njaa.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25884285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.