Sauti Ya Cabo Delgado 18.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 18.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Raisi wa Tanzania anasema magaidi waliondooka Cabo Delgado kushambulia Mtwara walikamatwa.
🔸Umoja wa mataifa unaomba kuundwa kwa Mahakama maalum kwa ajili ya Cabo Delgado.
🔸Nchimbaji haramu afariki katika mgodi wa Ruby Mining huko Montepuez.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.