Sauti Ya Cabo Delgado 19.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 19,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za.
🔸Mashambulizi mapya katika wilaya ya Mueda.
🔸Biashara ndogo na za kati zilipoteza dola bilioni 2 huko Cabo Delgado.
🔸Cabo Delgado,serikal inajadili utapiamlo wa watoto na washirika.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako