Sauti Ya Cabo Delgado 09.12.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 09,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Shirika la Human Right watch linasema zaidi ya wanawake 600 wametekwa nyara huko Cabo Delgado.
🔸Watu waliokimbia makazi yao wakifanya usafi katika makao makuu ya Bilibiza.
🔸Waziri wa kazi na usalama wa kijami anafanya kazi Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.