Sauti Ya Cabo Delgado 14.12.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 14,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado pia ni wasiriwa wa Unyanyasaji wa kijinsia.
🔸Zaidi ya wasichana 2 walioshiriki katika program ya Eu sou capaz huko Cabo Delgado.
🔸Wafanyabishara wadogo wananufaika na ufadhili katika mji wa pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.