Sauti Ya Cabo Delgado 20.12.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 20,2021 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Raisi Filipe Nyusi anasema magaidi 200 waliuawa na washukiwa wengine 245 walijumuisha uko Palma.
🔸Mchambuzi wa masuala ya ugaidi akuna imani katika ujasusi kati ya vikosi vya msumbiji na vykosi vya kigeni huko Cabo Delgado.
🔸Uko Cabo Delgado INAE inatishia kuchukuwa atua mbele ya uvumi wa bei.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.