Sauti Ya Cabo Delgado 21.12.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 21.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Ujumbe wa kijeshi wa SADC unaweza kwenda zaidi January,anatabir mtafiti Burgers Nhamir.
🔸Vijana wananufaika na nafasi za kazi uko Cabo Delgado.
🔸Gavana wa Cabo Delgado anatowa wito kwa makampuni kuzinkatia ufufuaji wa uchumi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766, kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.