Sauti Ya Cabo Delgado 27.12.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 27,20211 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari
🔸Watoto miatano wakinufaika na chakula cha mchana cha mshikamano kishuani Pemba.
🔸Grafit ya Balama inaingia kwenye soko la kimataifa .
🔸Gavana awataka waumini kuwahurumia watu waliohama.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha.