Sauti Ya Cabo Delgado 18.01.2022
Loading player...
Habari yako karibu, kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 18,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mahada za habari.
🔸Wiza ya ilimu na maendeleo ya kibinadamu inafichua kua wanafunzi 123,000 waliathiriwa huko Cabo Delgado.
🔸Zaidi ya vijana 300 waathirika wa mashambulizi ya kigaidi waliopatiwa mafunzo ya nyenzo za kazi kisuani Pemba.
🔸Cabo Delgado inatarajia kusajili zaidi ya vijana 14,000 katika sensa ya kijeshi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno, Emakwa, Shimakonde, kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.