Sauti Ya Cabo Delgado 20.01.2022
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 20,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mahada za habari.
🔸Baandhi ya silaha zinazotumiwa na magaidi zinatoka kwa madui zao kilingana na ripoti iliyotajwa na ACLED.
🔸Cabo Delgado inatazamia kuogezeka kwa Biashara ya kilimo msaada kutoka kwa mradi wa machodo Holing.
🔸Wasafirishaji kubashiri bei ya sahani katika mji wa Pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.