Sauti Ya Cabo Delgado 28.01.2022
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 28,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Delgado.
Zifuatazo ni mahada za habari.
🔸Ukosefo wa usalama katikati na kaskazini mwa Cabo Delgado hulazimisha watumiaji kuachana na ART.
🔸Ghasia 25 za kutumia silaha zilirekodiwa huko Cabo Delgado na Niassa wakati wa mwezi wa Desemba.
🔸Kampeni ya kusajili ya raia wa watu waliohamishwa chini ya matarajio.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.