Sauti Ya Cabo Delgado 08.02.2022
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya 08,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mahada za habari.
🔸Waasi waua watu sita katika wilaya ya Macomia
🔸Renamo wanawona ni mapema kuimba ushindi kwa kifo cha viongozi wa magaidi.
🔸Chama cha wanasheria kinashutumu mashtaka haramu kwa raia chini ya mandamano ya kuwa magaidi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.