Sauti Ya Cabo Delgado 27.09.2022
Loading player...
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Jumanne hii septemba 27.2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.
🔸Watu watano wameuawa katika shambulio la pili wilaya ya Metuge.
🔸Uwongozi wa SADC umethibitisha kifo na kijeruhiwa kwa wausika wake uko Nangade.
🔸Idade ya watu inarudi kwa wingi katika wilaya za Nampula na Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za Cabo kupitia kurasa yetu ya avoz. org au kutoka kwa Kurasa yetu ya Facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya pocast.
Pokeya habari za kila siku kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.