Sauti Ya Cabo Delgado 13.10. 2022
Loading player...
Abari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.oktoba 2022 tunayo mambo muhimu.
🔸Mtu mmoja ameuawa katika shambulizi la kigaidi kijiji cha Ntoli wilaya ya Nangade.
🔸Uwongozi Wa SADC wamekabizi nyenzo zilizopatikana katika operasheni za kukabiliana na magaidi.
🔸Nusu ya walimu wamerejea katika wilaya zilizokumbwa na ugaidi.
Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya www.avoz.org au kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.
Pata habari kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe +258843285766.Basi chagua lugha yako kati ya kireno,kimakuwa ,kimakonde ,kimuani na kiswahili.