Sauti Ya Cabo Delgado 10.11 .2022

Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 10,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habri inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi Wa Cabo Ligado.

Mambo muhimu kwa sasa.

๐Ÿ”ธ Harakati za kujitoleya husaidia kupata watu waliopoteya katika mashambulizi

๐Ÿ”ธ Wafanyakazi 14 waliongoza fujo katika kampuni ya syrah huko Balama wamefukuzwa kazi.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +28843285766 kisha uchague lugha kati ya kireno kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali :apa htts// iono.1237537.

Plural Media habari kwa lugha yako.
10 Nov 2022 3AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama ๐Ÿ”ธ Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi ๐Ÿ”ธ Magaidi wameingiaโ€ฆ
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia ๐Ÿ”ธ Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama ๐Ÿ”ธโ€ฆ
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Jeshi lรก wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16โ€ฆ
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda ๐Ÿ”ธโ€ฆ
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. ๐Ÿ”ธ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising ๐Ÿ”ธ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha ๐Ÿ”ธโ€ฆ
22 Aug 5AM 5 min