Sauti Ya Cabo Delgado 27.07.2023
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 27, Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Delgado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Watu wasiojulikana hutekeleza wizo wilaya ya Mocimboa da Praia.
🔸 Wanja wa Ndege Mocimboa da Praia unafanyiwa ukarabati.
🔸 Wakilishi wa Serikali ya mitaa na mashirika ya kiraia kutoka Palma walipata mafunzo.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.