Sauti Ya Cabo Delgado 01.08.2023
Loading player...
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 01 Agasti,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Misheni ya Jeshi la Ulaya inaitaka Serikali ya Mozambique kuunda kamandi ya Jeshi la FIR.
🔸 Pemba tayari ina Dawati ya uduma wa Ndani ya Mozambique LNG.
🔸 Zaidi ya wafanyakazi 2000 waliludi katika wilaya Zao .
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.