Sauti Ya Cabo Delgado 12.03. 2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 12.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Majeshi wa wanamaji wa Mozambique watuhumiwa Kwa kushambuliya boti za Raia Huko Cabo Delgado
🔸 Naparmas wawauwa majenti Watatu wa elimu ya uraia Huko Chiure
🔸 Ghasia zinaendelea dhidi ya watu waliohamiswa makazi yao katika vituo vya mapokezi.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.