Sauti Ya Cabo Delgado 19.03. 20244
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Nyusi aonya kuwa magaidi wataweza kugawanya inchi
🔸 Mocimboa da Praia yapokeya meli ya kwanza ya bidhaa za chakula
🔸 Meli zenye bidhaa ya vyakuria imezama Karibu na kisiwa chá Ibo.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.