Sauti Ya Cabo Delgado 26.03.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Quissanga na Ibo wanasubir rasilimali kuletwa na ndege Kuanza sensa
🔸 Marekani inapanga kuchangia dola milioni 22 nyengine ili kukabiliana na uasi
🔸 Raisi Nyusi athibitisha kuondoka Kwa SAMIM Julai 15.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp, kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.