Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,02.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu:
🔸 Wilaya ya Chiure, aina njia ya kuwahamisha watu waliokimbia makazi yao hadi vituo Vya Mapokezi
🔸 Polisi wa Mozambique, huko Nampula yathibitisha Shambulio Odinepa
🔸 Zaidi ya wafanyikazi elfu moja waliachwa bila kazi huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.
Plural Media habari Kwa lugha yako.