Sauti Ya Cabo Delgado 05.10.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 05.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

🔸 Cabo Delgado bado si salama a sema CIP.

🔸 Kituo cha afya chá Macomia kitafungua milango yake tena badaye ya miezi mitano kusimama

🔸 Majeshi wa Mozambique Waua Magaidi kumi Katika Wilaya ya Macomia.

Unaweza kusikiliza toleo hiili Katika lugha yako uipendayo, Kireno, kimakuwa ,kimwani, kimakonde na kiswahili.

Pata habari za Mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,na telegram na unaweza kutafuta Voz de Cabo Delgado Katika programa yoyote ya podcast.Tembelea kurasa yetu Avoz.org Download program ya Plural Media.
5 Oct 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 27.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Wanajeshi wa Mozambique wamesema Magaidi wamepoteza nguvu kwenye Pwani ya Macomia 🔸 Majeshi wa Mozambique huenda wakahusika na vifo vya raia Waliopatikana…
27 Sep 10AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.09.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media . Vichwa vya Habari wiki hiii: 🔸 Gavana wa Cabo Delgado ashauri thidi ya Kurudi Mukojo Maramoja. 🔸 Watu 17 wameukumiwa Kwa wahalifu wa kigaidi. 🔸…
20 Sep 11AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Waasi wazidisha matumizi ya vilipuzi huko Cabo Delgado 🔸 Serikali yanfunga mwangalizi wa CIP Kwa tuhuma…
29 Aug 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Gavana wa Cabo Delgado Apeleka mifuko ya saruji Kwa wajama waliokimbia vita 🔸 Umoja wa ulaya…
23 Aug 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Mlipuko wa Bomu za ndege Katika eneo la Mucojo huenda walikufa raia 🔸 Waokolewa wavuvi 70…
17 Aug 12AM 4 min