Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25.10.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.10.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

🔸 Wachimbaji waliuawa baada ya Mapigado na police Katika migodi ya Ruby Huko Montepuez.

🔸 Macomia na Quissanga sio tena maeneo yenye hatar kubwa, inahitibitisha ripoti ya umoja wa ulaya.

🔸 Zaidi ya watu 500 waliokimbia makazi Yao walirejeya Katina maeneo yao ya asilli.

Pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.

Unaweza pia kusikiliza habari izi vituo vya Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez, na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, na Kimuani.
25 Oct 2024 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 17. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya Cabo Delgado terehe 17.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Daniel Chapo anaahidi kuimarisha Jeshi Katika juhudi za kukabiliana na waasi huko Cabo Delgado 🔸 Watu…
17 Jan 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 10. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 10.10.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Kazi ya kuchimba grafite ya Ancuabe zimisimama zaidi ya miaka miwili 🔸 Wathiriwa wa…
10 Jan 12AM 14 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 03. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 03.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Cabo Delgado hakuna Kesi za kutengana Família Zinazohusisha watoto, inakikisha UNICEF 🔸 Ngogora wa baada…
3 Jan 1AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31.12. 2024

Habari gani Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Wananchi wa Muidumbe wanakimbia kutokana na kuwepo Kwa waasi . 🔸 Watu tisa wafariki…
31 Dec 2024 2AM 9 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20.12. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mecufe kumeharibiwa kabisa na kimbunga Chido. 🔸 Nyusi anawahomba wananchi waruhusu kampuni ya grafite…
20 Dec 2024 2AM 11 min