Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08.11. 2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 08.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Waasi Waua watu wawili Huko Muidumbe.

🔸 Mwaka wa Shule ulipotea Kwa wanafunzi wa Mazeze Huko Chuire.

🔸 Jeshi lá wanagambu linaendelea kulilia sílaha na vifa.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz .Org, ya Cabo Delgado,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org na unaweza kusikiliza habari izi kupitia,Redio za Kijami za Wilaya ya Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa kimakonde na Kimuani.
11 Nov 2024 3AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 02. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Watu watatu wanaodaiwa kuwa magaide walipigwa risasi Wilaya ya Macomia 🔸 Wafanyabishara wanamilkj soko…
22 Feb 4AM 9 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 02. 2025

Salama piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 14.02.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na Mpango wa Amani na Usalama Cabo Delgado. Viswa vikulu ya habari ndivi: 🔸 Cabu Delgadu ilitayarisha ndandu ya kubuka uluere wa Marburg inti jirani ya…
15 Feb 3AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Pundanhar inaludi Katika hali ya Kawaida baada ya shambuliio 🔸 Zaidi ya Shule 80…
7 Feb 5AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari. Wilaya mbili za Cabo Delgado zinakabiliwa na kipindupindu.: 🔸 Takribani watu wawili waliuawa Katika shambulizi…
31 Jan 2AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda 🔸 Watu wasiojulikana uleta hofu Katika…
24 Jan 2AM 10 min