Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31.12. 2024
Loading player...
Habari gani Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa vya Habari:
๐ธ Wananchi wa Muidumbe wanakimbia kutokana na kuwepo Kwa waasi .
๐ธ Watu tisa wafariki baada ya wimbi la maandamano Huko Montepuez.
๐ธ Cobo Delga inarekode idade kubwa zaidi ya vifo kutokana na kimbunga.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org, pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.