Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

🔸 Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda

🔸 Watu wasiojulikana uleta hofu Katika bala bala ya Pemba na Montepuez.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami, ya Mueda, Montepuez na Palma.
24 Jan 2AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Nkurugenzu mtendaji wa TotalEnergies anafanya nkutano ili kulipoti maswala ya usalama huko Afungi 🔸 Wanajeshi wawili waliowaua huko Muidumbe 🔸 Misaada ya kibinadamu…
13 Jun 3PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Mradi wa Mahendeleo ya miji ya kaskazini mwa Mozambique kuanza siku Chachi zijazo 🔸 Harakati za watu wadaodaiwa Kuwa magaide huwalazimisha wazalisha…
6 Jun 1PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 30. 05. 2025

Hábari, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Jeshi la wanamaji linashutumiwa Kwa uzembe Katika tukio la pwani ya Mocimboa da Praia. 🔸 Idade kubwa ya wakazi Palma wamerejeya Katika Wilaya hiyo tangu shambulio la…
30 May 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 23. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Angalau mahakama tano zimefunguliwa tena Cabo Delgado 🔸 Zaidi ya Madarasa 300 yakarabatiwa baada ya kimbunga Chido 🔸 Matukio ya kigaidi na hali…
23 May 3PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 16. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi wanaoungwa mkono na Islamic state wanadai kuuawa wanajeshi 11 huko Muidumbe 🔸 Raise anasema Kuwa majesji wanafanya kazi kuokowa hifhadi maalum ya…
16 May 12AM 6 min