Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31. 01. 2025
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari.
Wilaya mbili za Cabo Delgado zinakabiliwa na kipindupindu.:
๐ธ Takribani watu wawili waliuawa Katika shambulizi la kigaidi Katika Wilaya ya Palma
๐ธ Magaidi huwateka nyara watoto Wilaya ya Mocimboa da Praia
๐ธ Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.