Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 02. 2025
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
🔸 Pundanhar inaludi Katika hali ya Kawaida baada ya shambuliio
🔸 Zaidi ya Shule 80 zimefungwa Kwa Sabubu ya ugaidi huko Cabo Delgado
🔸 Magaide wanaendelea kupanda Kijiji Cha Pangane
🔸 Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda Montepuez na Palma.