Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 02. 2025
Loading player...
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa vya Habari:
🔸 Watu watatu wanaodaiwa kuwa magaide walipigwa risasi Wilaya ya Macomia
🔸 Wafanyabishara wanamilkj soko lililojengwa na wanyarwanda Mocimboa da Praia
🔸 Njumbe wa INGD anapendekeza kutumia Mali za ndani Ili kupunguza utegemezi kutoka inje.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma