Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025
Loading player...
Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
🔸 Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado
🔸 Magaide waua mtu Moja Meluco
🔸 Habari za kigaidi Mocimboa da Praia zinatia wasiwasi.
Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.