Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia

🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha wandamanaji na magaid

🔸 Waasi wamekamata boti za wavuvi Mocomia.

Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast, na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.
28 Mar 12AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 16. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi wanaoungwa mkono na Islamic state wanadai kuuawa wanajeshi 11 huko Muidumbe 🔸 Raise anasema Kuwa majesji wanafanya kazi kuokowa hifhadi maalum ya…
16 May 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 09. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide washambulia hifhadi ya Niassa kuacha vifo na waribifu. 🔸 Japan inatoa zaidi ya milioni 190 za meticais kwajili ya misaada ya kibinadamu…
9 May 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 02. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 02.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Huduma ya umoja wa ulaya Kwa hatua za Nje inapinga kufutwa Kwa msaada wa Rwanda Inchi Mozambique 🔸 Tume ya Haki za kibinadamo…
3 May 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Harakati za kigaidi zinalazimisha masomo kusimamiswa Katika Shule 13 🔸 Ugaidi unalazimisha kufungwa Kwa Shule zaidi ya Shule 100 huko Cabo Delgado…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 18. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Majeshi wa Mozambique Awana dalili zozote kuhusu wanajeshi waliotekwa na magaide kwenye bara bara namber 380 🔸 Magaide wamefunga barabara namber 14 inayounganisha…
18 Apr 5AM 6 min