Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 23. 05. 2025

Loading player...
Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.

Vichwa via Habari:

🔸 Angalau mahakama tano zimefunguliwa tena Cabo Delgado

🔸 Zaidi ya Madarasa 300 yakarabatiwa baada ya kimbunga Chido

🔸 Matukio ya kigaidi na hali ya hewa yanalazimisha kufunga Kwa zaidi ya Shule 20 Wilaya ya Mocimboa da Praia.

Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani,tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast.
23 May 3PM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama 🔸 Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi 🔸 Magaidi wameingia…
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia 🔸 Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama 🔸…
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado 🔸 Jeshi lá wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 5AM 5 min