Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 04. 07. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.

🔸 Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu inachunguza mauaji ya raia Wilaya ya Palma

🔸 Korea kusini yatoa tani 5.000 za Mchele Kwa watu waliokimbia Makazi yao huko Cabo Delgado

🔸 Rais wa Jamuhuri anatowa wito wa kuanza Kwa shuguli za Total energies.

Unaweza kusikiliza toleo hiili katika luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani tembelea ukurasa wetu wa Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp na telegram.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast.
4 Jul 7AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 07. 2025

Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 25.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Mashababi waripeleka Mocimboa 🔸 Mashabai watenda tokeyo la vita mu distritu ya Ancuabe 🔸 Sirikali ya Cabo Delgado itangaza kuludiliwa kwa…
25 Jul 3PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 07. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado, 21.07.2025. Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wanazidisha vizuizi barabarani na kuanza kuelekea kusini 🔸 Loli lililobebe chanjo ya Polia wilaya ya Mocimboa da Praia limeshambuliwa 🔸 Serikali ya…
20 Jul 5PM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 07. 2025

Habar gani,karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado 14.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vicha via Habari: 🔸 Sirekali ya Quisanga inakanusha kuwa walimu wamekabiliwa na mashambulizi ya kigaidi 🔸 Elimu na Afya zimetambuliwa kama sekta fizadi zaidi katika Cabo Delgado 🔸 Magaidi…
13 Jul 5PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Shambulio la kigaidi Wilaya ya Macomia limesababisha vifo vya watu wawili 🔸 Total energies hutatua madai mengi ya Jumuya za Palma 🔸…
27 Jun 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi 12 waliowaua na Majeshi huko Nairoto 🔸 Magaidi wanawalazimisha wachimba migode haramu wahache huko Meluco 🔸 Idade ya watu Wilaya ya…
20 Jun 2PM 5 min