Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 07. 2025

Loading player...
Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 25.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média

Viswa vikulu vya habari ndivi:

🔸 Mashababi waripeleka Mocimboa

🔸 Mashabai watenda tokeyo la vita mu distritu ya Ancuabe

🔸 Sirikali ya Cabo Delgado itangaza kuludiliwa kwa shicolta.


Mpodi kusikiliza habari ezi kwa lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimuani ema Kimakonde na Kijojo. Tumila ukurasa wa avoz.org ili utondole lugha ya usaka ema kwa njila za WhatsApp na lTelegrama.

Tifika mwisho ya habari ya mpango wa lelo mu Shauty ya Cabo Delgado. Zidini kupata habari ezi kwa njila ya ukurasa wa Facebook, WhatsApp, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org
25 Jul 3PM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 07. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado, 21.07.2025. Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wanazidisha vizuizi barabarani na kuanza kuelekea kusini 🔸 Loli lililobebe chanjo ya Polia wilaya ya Mocimboa da Praia limeshambuliwa 🔸 Serikali ya…
20 Jul 5PM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 07. 2025

Habar gani,karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado 14.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vicha via Habari: 🔸 Sirekali ya Quisanga inakanusha kuwa walimu wamekabiliwa na mashambulizi ya kigaidi 🔸 Elimu na Afya zimetambuliwa kama sekta fizadi zaidi katika Cabo Delgado 🔸 Magaidi…
13 Jul 5PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 04. 07. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.07.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu inachunguza mauaji ya raia Wilaya ya Palma 🔸 Korea kusini yatoa tani 5.000 za Mchele Kwa watu waliokimbia Makazi…
4 Jul 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Shambulio la kigaidi Wilaya ya Macomia limesababisha vifo vya watu wawili 🔸 Total energies hutatua madai mengi ya Jumuya za Palma 🔸…
27 Jun 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi 12 waliowaua na Majeshi huko Nairoto 🔸 Magaidi wanawalazimisha wachimba migode haramu wahache huko Meluco 🔸 Idade ya watu Wilaya ya…
20 Jun 2PM 5 min