Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media

Vichwa vya habari:

๐Ÿ”ธ Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma.

๐Ÿ”ธ Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure

๐Ÿ”ธ Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafiti.

Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno, kimakuwa, kimakonde na kimwani.

Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast.
8 Aug 11AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda ๐Ÿ”ธโ€ฆ
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. ๐Ÿ”ธ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising ๐Ÿ”ธ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha ๐Ÿ”ธโ€ฆ
22 Aug 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Watu wameuawa katika shambulio lรก waasi kwenye Bรกrabara 380 Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgadoโ€ฆ
15 Aug 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 01. 08. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe, 01.08.2025.Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: ๐Ÿ”ธ Wakazi wameridhiswa kwa kurejeshwa kwa usindikizaji wa kijeshi sehemu ya Macomia Oasse. ๐Ÿ”ธ Islamic state wameshambulia chiure ๐Ÿ”ธ Namparama kuingia katika hatua yaโ€ฆ
1 Aug 4AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 07. 2025

Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 25.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Mรฉdia Viswa vikulu vya habari ndivi: ๐Ÿ”ธ Mashababi waripeleka Mocimboa ๐Ÿ”ธ Mashabai watenda tokeyo la vita mu distritu ya Ancuabe ๐Ÿ”ธ Sirikali ya Cabo Delgado itangaza kuludiliwa kwaโ€ฆ
25 Jul 3PM 5 min