Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
494 Episodes
480 – 494

Sauti ya Cabo Delgado — 19.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 19, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media Na kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari: 🔸Mwishone wapiganaji wa Nangade watapokea…
19 May 2021 9AM 7 min

Sauti ya Cabo Delgado — 18.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 18, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotengenezwa na Plural Media Na kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari. 🔸Karibu watu 50.000 tahari wameondoka katika wilaya ya Palma kutafuta…
18 May 2021 9AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 17.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei,17, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado . Zifuatazo ni mada za habari: 🔸Wilaya Tano kati ya 17…
17 May 2021 8AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 14.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei 14, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delga iliyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Zifuatazo ni mada za habari. 🔸Cabo Delgado inapitia Shida…
14 May 2021 8AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado — 13.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji,karibu kwenye Toleo la sauti ya Cabo Delgado ya mei ,13,2021 ,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa Na plural media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo ligado. Zifuatazo ni mada za habari. 🔸Kuriti ya Mahakama ya Cabo Delgado ililazimisha kuhamisha visa kwa sababu ya…
13 May 2021 10AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado — 12.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 12 muaka 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na plural media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mada za habari. 🔸Walimu wanakata kurudi…
12 May 2021 11AM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 11.5.2021

Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei,11, 2021. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média na kushirikiana mradi wa Cabo Ligado. Sasa mada za habari: 🔸Kwa kuzingatia ugaidi huko Cabo delgado, msumbiji itapa…
11 May 2021 2PM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 10.5.2021

Habari yako nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei 10, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa nkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média na kushitiana na nradi wa Cabo Ligado. Sasa mada za habari. 🔸Pambana Na ugaidi huko Cabo Delgado…
10 May 2021 10AM 6 min

Sauti ya Cabo Delgado mnamo Mei 7, 2021

Salamu, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado mnamo Mei 7, 2021. Voz de Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Média, kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mada za habari: 🔸 Kuzidi kukosekana kwa usalama huko Palma, kunaendelea…
7 May 2021 12PM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 6.5.2021

Salamu, karibu kwenye toleo la Voz de Cabo Delgado mnamo Mei 6, 2021. Voz de Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Wingi wa Vyombo vya Habari, kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mada za habari 🔸Kususiwa harakati za magaidi hutisha…
6 May 2021 2PM 5 min

Sauti ya Cabo Delgado — 5.5.2021

Toleo la Sauti ya Cabo Delgado la tarehe 5 Mei, 2021 inawaletea habari ya mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Média, kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya habari: • Watu 20,000 wanahitaji msaada Quitunda katika wilaya ya Palma. • Watu 21 walikamatwa wakielekea Cabo Delgado kwa…
5 May 2021 3PM 8 min

Sauti ya Cabo Delgado — 4.5.2021

Salamu, karibu kwenye toleo la Voz de Cabo Delgado la Mei 3, 2021. Voz de Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Habari kamili. Unaweza kusikiliza programu yetu katika vikundi vyetu vya WhatsApp na…
4 May 2021 3PM 3 min

Sauti ya Cabo Delgado — 3.5.2021

Salamu, karibu kwenye toleo la Voz de Cabo Delgado la Mei 3, 2021. Voz de Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Habari kamili. Takriban watu 500 waliohamishwa kutoka wilaya ya Palma, ambao waliondoka…
3 May 2021 12PM 2 min

Utangulizi

Salamu, karibu kwenye toleo la kwanza la Voz de Cabo Delgado, nafasi ya habari za mkoa wa Cabo Delgado. Voz de Cabo Delgado ni utengenezaji wa Plural Media, kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kuanzia wiki ijayo, tutaleta muhtasari muhimu zaidi wa mkoa wa Cabo Delgado kila siku, katika…
1 May 2021 5AM 1 min
480 – 494